Thursday, January 21, 2010
SNOOP KUJA NA ALBAM NA MOVIE PA1''MALICE'''
Mchizi ametangaza kutoka kwa albam yake mpya mwaka huu '''malice'''ambayo itakuja pamoja na movie ambayo ndani yake kutakuwa na superstar kibao wakiwemo Jemie Foxx,Xzibit na nipsey hussle huku snoop mwenyewe akiwa ndo stering wa kitu hicho cha movie .MALICE ambayo itakuwa ni albam pamoja na movie kwa pamoja vitatoka March 23.
CHECK TRACKLIST YA MALICE''MTAANI MARCH 23'
1. I Wanna Rock (The kings G-Mix)ft Jay Z
2.Protocal
3.So gangsta ft butch cassidy
4.Upside Down ft Nipsey Hussle and Problem
5.House Shoes
6.That Tree ft Kid Cudi
7.Different Languages ft Jazmine Sullivan
8.Luv Drunk ft The-Dream
9.Pronto (G-MIX)ft Soulja boy and Bun b
10.You're Gonna love Me ft Mac Lucci
11.2 Minute Warming
12.1800 ft lil Jon
2.Protocal
3.So gangsta ft butch cassidy
4.Upside Down ft Nipsey Hussle and Problem
5.House Shoes
6.That Tree ft Kid Cudi
7.Different Languages ft Jazmine Sullivan
8.Luv Drunk ft The-Dream
9.Pronto (G-MIX)ft Soulja boy and Bun b
10.You're Gonna love Me ft Mac Lucci
11.2 Minute Warming
12.1800 ft lil Jon
Wednesday, January 20, 2010
KING OF THE SOUTH IS BACK'''
Baada ya kutumikia kifungo cha miezi saba kwa kosa la kukutwa akitumia siraha kinyume cha sheria sasa mchizi anajipanga kuanza kutengeneza albam yake mpya 2010 albam ambayo sehem kubwa ya uzarishaji itasimamiwa na jamaa aliemtengenezea ngoma ya 'wharever you like' Jim Jonsin ngoma ambayo ipo kwenye albam ya TI iliofika mpaka multi-platinum 'Paper Trail'.
Wednesday, January 13, 2010
LLOYED BANKS MIKONONI MWA POLICE CANADA..
Member wa kundi la G unity Lloyed banks na washikaji zake wanne wanashikiliwa na police tangu jumamosi asubuhi nchini Canada baada ya kumfanyifujo promote siku ya ijumaa
Mchiz alialikwa kufanya show siku ya ijumaa katika Club NV in Brantford iliyopo katika jiji la Ontario ,na promoter Chris Hines wa campuni ya Chris Hines/Ultimate Entertainment inadaiwa alichelewa kufika ukumbini na akaparfom ngoma moja na kisha kuondoka katika stage na alipo ulizwa na promoter aliyempeleka Canada kwanini kafanya kinyume na makubaliano ndipo ugomvi ulipo zuka na kipigo kumpata promoter huyo ambeye hivi sasa anaugua maumivu..
lakini habari kuto G unity zinasema Lloyed na campany yake watatoka hiii mara baada yakuweka bond ya dola 50,000.
Mchiz alialikwa kufanya show siku ya ijumaa katika Club NV in Brantford iliyopo katika jiji la Ontario ,na promoter Chris Hines wa campuni ya Chris Hines/Ultimate Entertainment inadaiwa alichelewa kufika ukumbini na akaparfom ngoma moja na kisha kuondoka katika stage na alipo ulizwa na promoter aliyempeleka Canada kwanini kafanya kinyume na makubaliano ndipo ugomvi ulipo zuka na kipigo kumpata promoter huyo ambeye hivi sasa anaugua maumivu..
lakini habari kuto G unity zinasema Lloyed na campany yake watatoka hiii mara baada yakuweka bond ya dola 50,000.
Friday, January 8, 2010
JBOOG:NISIKILIZENI MIMI SIO RUMOUS..
Jarell Houston AKA J-Boog ambaye ni mmoja kati ya artist walio kuwa wakiunda kundi la B2K ameibuka na kukanusha uvumi ulioenea kuwa amekuwa arrested kutokana na kumnyanyasa mama aliye zaanae watoto wawili ""I did not get charged with any form of domestic violence against the mother of my children," . I love and respect all of the women in my life and would never harm any of them""boog amekili kwa alikamatwa lakini ni kutokana na kuvunja sheria za barabarani na akasorve tatizo hilo na akaachiwa na hakuna charges zozote alizopewa...tangu kupotea kwa kundi la B2K J BOOG amekuwa akifanya kazi na LIL FIZZ ameye nae alikuwa member wa B2K na ngoma ambayo kali walishawahi kuifanya yaitwa BOUNCE na boog amewataka mafanc kukatayari 2010 kwa vitu vikali...
Tuesday, January 5, 2010
FANYA KUCHEK TOUR ILIYOFANYWA NA EBONY FM DEC 2009.
Huu ndio usafiri ulio tusafirisha kutoka STONE CITY (iringa)mpaka kaskazini mwa tanzania (atown,kilimanjaro na kisha daes salaam)
TOUR YETU ILIANZIA HAPA@#
Kiukweli tulitembelea sehemu kibao lakini hebu tuchek hizi
Kabla ya kuingia AICC tuliamua kuchili na kupiga picha mbili tatu za pamoja (SHOW LOV)kushoto juu reymond francis, Dj kwasa,the man am self Bahati Alex na hatiya Omary.
mwiite Raymound Francis
ndani ya ukumbi wa AICC
Bonny sly akiwa amechili na agness Sehem ya VIP ndani ya AICC
The man am self (VIP AICC)
Endwin bashir kama vipi mwiite EDDO (VIP AICC)
Nje ya AICC baada ya kumaliza kuitembelea ..
PIA TULIPIGA TOUR UWANJA WA NDEGE WA KIA(KILIMANJARO)
Hapa crew nzima tukiingia katika uwanza wa ndege wa kimataifa uliopo mkoani kilimanjaro--KIA-
Kiongozi wa tour hii tulioifanya Edwin bashir akituonesha njia kushoto--bahati alex
Huyu ndio anayeipa uhai twendy 4 seven nikibadilishana mawazo na Hatiya Omary wakati wa kuingia KIA
Kilichonivutia KIA nieneo hili wanapaiita tower eneo ambalo hutumika kuwasiliana na marubani na kuwapa maelekezo.
Edwin bashir akifatilia maelekezo kwa makini aliyokuwa akipewa na mwenyeji wetu pale KIA..
Baada ya kumaliza kutembelea KIA..sasa twasepaa.
BAADA YA KUTOKA KILIMANJORO TULITIMBA DAR.
Hapa tulikuwa tukipata breakfas peacock dar- kabla hatujaanza safari ya kurudi stone city...
kushoto-hatiya,bahati alex na agnes samson.
mwiite Bonny sly
agnes--dj kwasa
Subscribe to:
Posts (Atom)