Thursday, January 21, 2010

SNOOP KUJA NA ALBAM NA MOVIE PA1''MALICE'''



Mchizi ametangaza kutoka kwa albam yake mpya mwaka huu '''malice'''ambayo itakuja pamoja na movie ambayo ndani yake kutakuwa na superstar kibao wakiwemo Jemie Foxx,Xzibit na nipsey hussle huku snoop mwenyewe akiwa ndo stering wa kitu hicho cha movie .MALICE ambayo itakuwa ni albam pamoja na movie kwa pamoja vitatoka  March 23.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa taarifa kakangu!!