Wednesday, February 3, 2010

MASUPERSTAR KIBAO NDANI YA TRACK 1"we a the world"

Baada ya miaka 25 kupita tangu kuimbwa kwa original ya wimbo wa kihistoria  “We Are the World”J3 hii masuper star zaidi ya 75 walikutana kwa ajili ya kuimba upya wimbo huo ndani ya Henson RecordingStudiosin Hollywood.
track hiyo ilioandikwa na Lionel Richie pamoja na marehemu Michael Jackson mwaka 1985 this tym wameipa jina la “We Are the World – 25 for Haiti,” ikiwa na lengo la kuwafaidisha waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni nchini Haiti
wasanii walioshiki katika tukio hilo la kihistoria ni pamoja na Lil Wayne (redoing Bob Dylan’s verse), Kanye West, Jennifer Hudson, Trey Songz, Drake, Barbra Streisand, Toni Braxton, Snoop Dogg, Usher, Pink, Jamie Foxx, T-Pain, Keri Hilson, Brandy, Robin Thicke, Miley Cyrus, Busta Rhymes, Nicole Scherzinger, Akon, Tony Bennett, Carlos Santana, and many others.

akon&brandy
jennfer hadson 7& jordan spacks
hivyo ilivyo kuwa wakati wa kufanya recording ya "we are the world"

No comments: