Thursday, February 4, 2010

SHAKIRA&KEYS SHAVU KWENYE BASKETBALL.

Alicia Keys and Shakira watapiga show February 14 katika mchezo wa basketball utakao shirikisha NBA All Star Game kwenye uwanja wa Cowboys Stadium in Arlington, Texas.
kwamujibu wa maoffisa wa NBA wamesema Keys and Shakira wataparform katika mchezo huo wkati wa mapumziko wasanii hao wakike wameungana na Usher Raymond ambaye atafanya show wakati wa utambulisho kwa wachezaji
mchezo huo umekuwa gumzo sehemu tofauti hasa katika vitongoji vya Texas
mchezo huo utarushwa na TNT, February 14, 2010 from Cowboys Stadium in Arlington, Texas.
Alicia keys

No comments: