Tuesday, February 23, 2010

BLUE 3 MATATANI.

Wasanii wawili kutoka kwenye kundi la Blu3 wameamua kufanya kazi kila mmjoja kivyake
na tayari mmoja ya wanakundi hao Jackie Chandiru amekwisha fanya track kama solo artist inayoitwa, , ''Agassi'' ngoma ambayo imetengenezwa na Benon katika studio za Swangs Ave Studios na imeimbwa katika lugha mbili (Lugbara) na kiingereza .

wakati member mwingine wa kundi Lilian ambaye anahusishwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa goodlife Weasal (wa kundi la goodlife)ameisha tengeneza ngoma inayoitwa “Vitamin''. ambayo ameimba kwa lugha ya The Luganda na sehemu nyingine ya ngoma hiyo ameimba kwa kiingereza na nyimbo hiyo imetungwa na Moses Radio na imetengenezwa na produce Washington.

No comments: