Wednesday, February 10, 2010

KIFUNGO CHA LIL WEEZY CHASOGEZWA MBELE.

kifungo cha mchizi ambacho kilikuwa kianze jana feb 9 sasa kimesogezwa mbele na ataanza kutumikia kifungo hicho kuanzia march 2 baada ya mwnasheria wa weezy Stacey Richman aliiomba mahakama impe mteja wake muda wa siku kumi kuanzia ijumaa ili aweze kufanyiwa oparetion ya mano na mahakama ikakubali ombi hilo
weeezy anatarajia kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatika na tuhuma ya kutumia siraha kinyume na sheria hiyo jana weezy alihudhuria mahakani akiwa ameongoza na mabosi wa cash money Birdman and Slim kabla ya kuingia mahakamani lil wyne alisikika akiwaambia mafans wake “ I really, really, really truly love you. Thank you from the bottom [of my heart”

No comments: