Monday, February 22, 2010

JAY Z'OBAMA ANAPENDA HIP HOP'

Jamaa anaamini prezda Barack Obama anapenda hip hop aliyasema hayo wakati akifanyiwa interview na mwandishi wa BBC Jonathan Ross,Jay Z Amesema mara ya mwisho alimpigia simu Obama akiwa gym akasikia akisikiliza albam yake ya Blueprint.pia jamaa akasema sio tu yupo kwenye list ya wasanii anaowapenda Obama lakini pia anayo number yake ya mkoni, namara kadhaa Obama amekuwa akimualika Jay Z White House.lakini jigga akasisitiza kuwa yeye pia ni fanc mkubwa wa barack Obama na ndomaana akafanya remix ya MY PRESIDENT IS BLACK.

No comments: