Thursday, February 11, 2010

SQEEZER + GEEZ MABOVU = PIC WEEK-END HII.

licha kuwa sqeezer na geez mabovu kuwa nabifu la muda mrefu sasa week end hii inatarajiwa kuwa mwisho wa bifu hilo baada ya Ebony ENT kuwapatanisha katika stege tatu tofauti na baada ya hapo mafans watasema nani mkali na amani iendelee kati yao.ijumaa hii itakuwa ni ndani ya club VIP wakali hao wa HIPHOP watapiga show kisha jumamosi watakuwa inje pembezoni mwa mji wa iringa ILULA na jumapili yani valentine itakuwa ni zamu ya Ebony shimoni club mafinga ...

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri, ila angalia sio ulasi mwingi:-)