Tuesday, February 23, 2010

JLO KUWA CHINI YA DEF JAM.

Baada ya kufanya kazi chini ya Epic Records kupitia label ya Sony Music Label Group kwa muda wa miaka 11 Jennifer Lopez ameamua kuachana na label hiyo na sasa atakuwa chini ya  label ya Def Jam,ambayo inamiliki wasanii kama Mariah Carey, Rihanna, na Kanye West


manage wa Jlo Benny Medina amethibitisha issue hiyo na amesema hakuna chochote kibaya kilicho mfanya Jlo kuondoka katika label hiyo bali ameamua kubadilisha mazingira.Project ya mwisho ya J lo Epic Record kuisimamia ni hii albam ya sasa” love.

No comments: