Thursday, February 25, 2010

50" KUPUNGUZA UZITO ILI AFANYE MOVIE.

Kutokana na nafasi atakayo cheza 50 katika movie hiyo ya "Things Fall Apart" inalazimika apunguze uzito kwa kiasi cha kilo 30 na hii ni kwa mujibu wa produce wa movie hiyo Randall Emmett na tayari 50 cent amekubali kufanya hivyo na movie itaanza kufanyiwa shooting Michigan mwezi May tarehe 10

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kupungua kila 30 duh! kazi kwelikweli. Nakutakia kila la kheri kila utakalofanya.Upendo Daima.