Tuesday, February 16, 2010

WEEZY AFANYA VIDEO 4 NDANI YA ONE WEEK.


Wakati jamaa anajianda kwenda kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela ametengeneza video 4 ndani ya wiki iliyopita na kukamilisha idadi ya video 9 ambapo tano zingine alikuwa amekwisha kuzifanya video hizo zinatarajiwa kuachiwa wakati jamaa yupo jela.
Ngoma ambazo weezy amezitengenezea video amesema zinatoka katika [We Are Young Money compilation] album, na nyingine kwenye albam yake ya nne ya Tha Carter IV na ngoma nyingine inatoka kwenye albam yake ya Rock . Rebirth
Katika video hizo pia kuna ngoma inayoitwa "Inkredible,"ambayo amefanya na Rick ROSS..Kaa tayari jamaa kajipanga.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

twasubiri kwa hamu sanaaa!!!