Rapa Wyclef Jean amelazwa baada ya kuugua ghafla ugonjwa wa msongo wa mawazo .
lilazwa na kuachiliwa katika hospitali moja ikiwa ni siku chache baada ya kuondolewa katika kinyang”anyiro cha kuwania nafasi ya urais wa nchi aliyozaliwa ya Haiti .
Jean aliondolewa katika mpango huo mwezi agosti mwaka huu baada ya wanasheria kusema kuwa hana vigezo kushiriki katika uchaguzi kutokana na kushindwa kufikia matakwa muhimu yanayohusu uraia wake .