Tuesday, September 28, 2010

Karibuni bongo land...

Wakali hawa walienda kuiwakilisha HIPHOP ya bongo kiwanja twenty 4 seven yawakaribisha..

Kama dakika 10 zilizopita Fid Q amerudi kutoka USA alikoenda takribani miezi kadhaa. Mnyamwezi amefika salama na pichani hapo ni alivyokuwa anaondoka kuelekea Airport ya USA.

PROF JAY AKAMILISHA TOUR YAKE NA SASA IS BACK HOME.

Shukrani sana watu wangu wote wa USA Ziara yangu imekamilika salama bila matatizo yeyote, asanteni Sana kwa kunipokea vizuri na kuifanya Ndoto yangu itimie..mungu awabariki sana TUTAONANA AKIPENDA.. TANZANIA NARUDI NYUMBANI!!!
MUHIMU:nimecopy & kupest-www.djchoka.blogspot.com

No comments: