Tuesday, June 21, 2011

Amber Rose amtambulisha Wiz Khalifa kwa family yake!

Amber Rose and Wiz Khalifa yamezidi kwenda kwenye level nyingine, baada ya Amber Rose kumkutanisha wiz na baba yake pamoja na kaka zake na kisha wakatupia picha ya pamoja..

No comments: