Friday, August 12, 2011

Rick Ross And Odd Future Confirmed As Presenters During 2011 MTV Music Video Awards



News] MTV Imetangaza raund ua  kwanza ya presenters watakao simamia  2011 MTV Video Music Awards, itakayo fanyika baadaye mwezi huu huko  Los Angeles.

Miami rapper Rick Ross, Seth Rogen, Jonah Hill, Kim Kardashian na  Hip-Hop collective Odd Future Wolfgang Kill Them All ndio watakao simamia 2011 MTV Music Awards show ambayo itajumuisha , performances kutoka kwa Lil Wayne, Chris Brown, Young The Giant naBruno Mars ambao wote wamedhibitsha kushiriki,

No comments: