Hello world… I’m good. Siku zinaenda na nina furaha ,sehemu kubwa na furaha yangu inakuja kutokana na kusikia sauti za watoto wangu ambao nazungumza mara kwa mara na furaha nyingine inakuja kwa kuwa Napata mail kutoka kwa mafans wakinifariji .
Najihisi nina mafans wa kweli katika hii dunia kwa kuwa bado wananisapport na wananipenda nawengine huniombea pia,sikuwahi kufikilia kama nina maana kubwa kwa watu ila sasa nimejua nawaahidi kuwa makini sana nikitoka
Weezy anasema amekwisha kuandika ngoma kali na amekuwa akisikiliza radio na kusikia ngoma mpya anasema nyingine anazipenda nikali lakini najivunia mafanikio wanayoyapata kundi langu la young money na wala sishangai kwani ndivyo inavyotakiwa kufanya.
Nampongeza Drake na Nicki kwa mafanikio wanayoyapata
Lil wyne anasema akiwa jela anaamuka mida kama ya saa5 asubui hivi nachapisha kitu chakahawa kasha naenda kwenye simu kuzungumza na watoto wangu na mama yangu kasha nasoma fan mail na soma vitabu naandika idea na kasha kabla sijalala nasoma bible hivyo ndivyo siku yangu inavyo isha
Tunechi.