Tuesday, July 27, 2010

LEAKED INVITATION PIC* T.I. & Tiny's Wedding Is Going Down In Miami NEXT WEEKEND!

T.I. pamoja na girlfriend wake wa muda mrefu Tiny's inadaiwa wapepnga kuchapishana pete za ndoa July 31st in Miami.
Na rangi za harusi hiyo itakuwa ni "platinum" and black. Harusi hiyo ambayo mipango yake ni siri sana inatarajiwa kuhudhuliwa na mastaa kibao akiwemo group mate wa Tinys Kandi Burruss
hii ni INVITATION card  ya harusi hiyo imeleak kitaaa

1 comment:

janeth said...

kiukweli nimefurahi sana kupata minuuuuz kama hiyo nawatakia maisha mema dogo pia nawewe ukaze buti bado ha2jafika c unajua.have a nice tym
janeth robert
col me jency