Tuesday, November 9, 2010

Mtisiko(Bata mrefuuuuuuuuuu)ilivyokuwa mbeya..


Dj Mubbaaaaaaaaaaaa nipe.......e...hah hah hha,mbeya mtamalizia bana simnakumbuka JB wa mabaga freshi ambaye kwa sasa yupo na wanaume halisi alivyokuwa anamuomba dj muba ampeeeee......e? hah hah

Vijana fungeni mikanda,fungeni mikanda" hawa jamaa bwana niwanoma aisee (Chegge & Temba) walichapisha mbaaaaaaaaaya...

Roma aliamsha sio padogo aiseee....

3 bira,3 bira,3 bira...hahh hah hah jamaa wakati anavunja hapo kati, mashabiki wakawa wanampa moto kwa kusema 3 bira...

Wanaume halisi si ndo hawa sasaaaaa?

jumamosi ya week hiii itakuwa zamu ya iringa toun..copy+paste KIDUCHU.blogspot.com

Friday, November 5, 2010

Bata mrefuu nov 6 mbeya maandalizi yapo pwaaa..

maandalizi ya bata mrefuu mbeya sokoine stedium  hiyo ni stege tu inafungwa


Robby, Allen & Hatya duu wanashangaa stege inavyopanda hewani.bata mrefuuuuuuuuu.

ni nourma


Dj Dulla,Mwalubadu,Greyson wa bomba fm mbeya na Allen hawa wapo pande za mambeyani
MUHIMU:Copy +pest kutoka kwa KIDUCHU.BLOGSPOT.COM

Tuesday, November 2, 2010

bonge la show kusini mwa Tanzania.


weasel na radio watapiga show tarehe 13
nov katika uwanja wa samora kwenye mtikisiko (bata mrefuuuu)

IZZO B

Chege & Temba
mtikisiko bata mrefuuuu utaanzia mbeya 94.7 (ebony fm) tarehe 6 nov  atadondoka pia linah,barnaba,Roma,Linex,Twanga pepeta.siyakukosa kula bata mrefuuu

Mwanaharakati wa HIPHOP anayeingia mjengoni Dodoma!




Mr SUGU Joseph Mbilinyi Mbunge Mteule Mbeya mjini. Majimbo yaliyochukuliwa na wapinzania wa CCM

1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA 2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA 3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF 4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA 5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA 6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA 7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA 8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA 9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA 10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA 11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA 12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA 13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA 14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA 15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA 16.Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP

17. Kasulu vijijini - Zaituni Buyogera - NCCR Mageuzi

18. Kasulu Mjini - Michael John - NCCR Mageuzi http://www.mwananchi.co.tz/

Hii ni brazil sio CHADEMA jameni..



Rais wa kwanza mwanamke NCHINI brazil Dilma Rousseff ambaye ameshinda kwa asilimia  55.8%ya  kura zilizopigwa nchini humo siku ya jumapili na amechukua nafasi ya President Luiz Inacio Lula da Silva.