
Dj Mubbaaaaaaaaaaaa nipe.......e...hah hah hha,mbeya mtamalizia bana simnakumbuka JB wa mabaga freshi ambaye kwa sasa yupo na wanaume halisi alivyokuwa anamuomba dj muba ampeeeee......e? hah hah

Vijana fungeni mikanda,fungeni mikanda" hawa jamaa bwana niwanoma aisee (Chegge & Temba) walichapisha mbaaaaaaaaaya...

Roma aliamsha sio padogo aiseee....

3 bira,3 bira,3 bira...hahh hah hah jamaa wakati anavunja hapo kati, mashabiki wakawa wanampa moto kwa kusema 3 bira...

Wanaume halisi si ndo hawa sasaaaaa?

jumamosi ya week hiii itakuwa zamu ya iringa toun..copy+paste KIDUCHU.blogspot.com
No comments:
Post a Comment