
weasel na radio watapiga show tarehe 13
nov katika uwanja wa samora kwenye mtikisiko (bata mrefuuuu)
IZZO B
Chege & Temba
mtikisiko bata mrefuuuu utaanzia mbeya 94.7 (ebony fm) tarehe 6 nov atadondoka pia linah,barnaba,Roma,Linex,Twanga pepeta.siyakukosa kula bata mrefuuu
No comments:
Post a Comment