Friday, January 8, 2010

JBOOG:NISIKILIZENI MIMI SIO RUMOUS..


Jarell Houston AKA J-Boog ambaye ni mmoja kati ya artist walio kuwa wakiunda kundi la B2K ameibuka na kukanusha uvumi ulioenea kuwa amekuwa arrested kutokana na kumnyanyasa mama aliye zaanae watoto wawili ""I did not get charged with any form of domestic violence against the mother of my children," . I love and respect all of the women in my life and would never harm any of them""boog amekili kwa alikamatwa lakini ni kutokana na kuvunja sheria za barabarani na akasorve tatizo hilo na akaachiwa na hakuna charges zozote alizopewa...tangu kupotea kwa kundi la B2K J BOOG amekuwa akifanya kazi na LIL FIZZ ameye nae alikuwa member wa B2K na ngoma ambayo kali walishawahi kuifanya yaitwa BOUNCE na boog amewataka mafanc kukatayari 2010 kwa vitu vikali...

No comments: