Tuesday, January 5, 2010

TOUR YETU ILIANZIA HAPA@#

Kiukweli  tulitembelea sehemu kibao lakini hebu tuchek hizi


Kabla ya kuingia AICC tuliamua kuchili na kupiga picha mbili tatu za pamoja (SHOW LOV)kushoto juu reymond francis, Dj kwasa,the man am self Bahati Alex na hatiya Omary.

mwiite Raymound Francis

ndani ya ukumbi wa AICC

Bonny sly akiwa amechili na agness Sehem ya VIP ndani ya AICC

The man am self (VIP AICC)

Endwin bashir kama vipi mwiite EDDO (VIP AICC)



Nje ya AICC baada ya kumaliza kuitembelea ..

1 comment:

Anonymous said...

mmh... mwenzanguuu!!!! mbona mmekula good time hivyo haya bwana.. ila nawapongeza sana kwa kubadilisha mazingira na kupata elimu pia naamini kunabaadhi ya mambo mlikuwa hamyajuwi lakini kwa sasa "MPANGO MZIMA"