Wednesday, January 13, 2010

LLOYED BANKS MIKONONI MWA POLICE CANADA..


Member wa kundi la G unity Lloyed banks na washikaji zake wanne wanashikiliwa na police tangu jumamosi asubuhi nchini Canada baada ya kumfanyifujo promote siku ya ijumaa
Mchiz alialikwa kufanya show siku ya ijumaa katika Club NV in Brantford iliyopo katika jiji la Ontario ,na promoter Chris Hines wa campuni ya Chris Hines/Ultimate Entertainment inadaiwa alichelewa kufika ukumbini na akaparfom ngoma moja na kisha kuondoka katika stage na alipo ulizwa na promoter aliyempeleka Canada kwanini kafanya kinyume na makubaliano ndipo ugomvi ulipo zuka na kipigo kumpata promoter huyo ambeye hivi sasa anaugua maumivu..
lakini habari kuto G unity zinasema Lloyed na campany yake watatoka hiii mara baada yakuweka bond ya dola 50,000.

No comments: