Wednesday, January 20, 2010

KING OF THE SOUTH IS BACK'''


Baada ya kutumikia kifungo cha miezi saba kwa kosa la kukutwa akitumia siraha kinyume cha sheria sasa mchizi anajipanga kuanza kutengeneza albam yake mpya 2010 albam ambayo sehem kubwa ya uzarishaji itasimamiwa na jamaa aliemtengenezea ngoma ya 'wharever you like' Jim Jonsin ngoma ambayo ipo kwenye albam ya TI iliofika mpaka multi-platinum 'Paper Trail'.

1 comment:

viva afrika said...

asante kwa kutujuza haya, kaza buti mdogo wangu, one luv