Saturday, October 31, 2009

NYUMBANI KWANZA.....

Mtanzania  Elizabeth Gupta bado anapeta ndani ya jumba la bigbrother lakini bado anaitaji kura yako kama Vp fanya kutembelea http://www.mnetafrica.com/bigbrother ili umpigie kura arudi na chapaa bongo............. mpaka sasa wamebaki washiriki 10 na walio toka ni 15 .twenty 4 seven yamtakia mafanikio bibie huyu......hapo pembeni"Elizabeth Gupta (kulia)na Nasreem karim"

UP COMING ANAYETESA bilbord CHAT..

Jamaa ni muingereza"Kamaljit Singh Jhooti" wengi twamjua kama Jay sean yupo ndani ya cash money.anangoma yake"Down" ambayo kampa shavu mkali Lil Wayne ambayo mwezi huu imesumbua #1 kwa wiki kadhaa ndani TOP Billboard Hot 100 na mauzo ya singo hiyo ambayo itakuwa kwenye albam ya tatu "all or nothing"yamefikia platinum....single yake hiyo imeuza copies million mbili us pekee na kumfanya awe msanii wa kwanza wa kiume wa UK kuwa namafanikio ndani ya US CHART na amevuja record ailiokuwa imewekwa na elton John tangu mwaka 1997...

Friday, October 30, 2009

ITS WEEK-END BEIIIIIBY!!!!??????....

najua ikifika weekend kama ya leo wazaiiiya ni full furaha,simu zipo bize ile mbaya bring bring nini huchukua nafasi......wazee wa goodtym wakishakaa kwenye vikao vyao vya mwisho wa wiki husika wakisema "weita ondoa maadui tulete marafiki"ITS WEEK-END BEEEIIBY....................EBWANAE ikifika week-end 2takiane week-end njema kwenye blog hii....fanya kama kunitumia picture alafu 2one  jree2007@yahoo.com

Thursday, October 29, 2009

BIF"50 V/S LIL WYNE & BIRDMAN

Baada 50  kumdiss lil wayne kwa kumuita "a whore" bifu hilo limeendelea kukuwa kufuatia cent kurelease ngoma mpya "part time lover" ambao wazi humo ndani amewadisi wana cash money lil wyne pamoja na baby au birdman kama anavyopenda aitwe hivi sasa......pia newz zinasema kwamba lil weezy yupo tayari kumjibu 50 na inasemekana majibu hayo yatakuwa kwenye ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuirelease hivi karibuni ambayo ameipa jina la "Gossip"...............lakini kutokana na bifu hiyo kupamba moto wadau wa HIP HOP wanadai bif hiyo inachochewa makusudi ili 50 na birdman yani baby wakae midomoni mwawatu ili wauze albamu zao kwa kuwa wote wana tarajia kurelease albam zao mwezi ujao november 23..wakati 50 anaachia "before i self distract"birdman anachia pricele$$........


AMETISHA...


Jamaa anatarajia kufanya bonge la tour ivi karibuni ambayo ameiita "Fan Appreciation Tour" ataifanya mara baada ya kuachia albam yake ya tatu inayoitwa Graffiti ambayo ana release December 15 ndani ya New York city,albam ambayo ina hit single kama "Crawl...chris brown amesema asilimia kubwa ya pesa atakazo zipata katika tour hiyo zitatumika kuwapa msaada watu wanao ishi na matatizo....ndomana nasema mchizi ametisha..

PLACE ATAKAZO PIGA TOUR C BREEZE...

Nov. 14 – Houston, TX @ House of Blues
Nov. 15 – Dallas, TX @ Palladium
Nov. 18 – Los Angeles, CA @ Avalon
Nov. 19 – San Francisco, CA @ The Fillmore
Nov. 22 – Richmond, VA @ Landmark
Nov. 25 – Detroit, MI @ Royal Oak
Nov. 26 – Chicago, IL @ House of Blues
Nov. 29 – Ft. Lauderdale, FL @ Revolution
Dec. 1 – Atlanta, GA @ CenterStage
Dec. 4 – Washington, D.C. @ Warner Theater
Dec. 5 – Providence, RI @ Lupo’s
Dec. 6 – Boston, MA @ House of Blues
Dec. 9 – Sayreville, NJ @ Starland
Dec. 11 – Baltimore, MD @ Sonar
Dec. 12 – Wallingford, CT @ Chevrolet Theater
Dec. 13 – Philadelphia, PA @ Electric Factory
Dec. 15 – New York, NY @ Nokia Theater

Wednesday, October 28, 2009

50-IS BACK


MCHIZI anataraji kuachia albam mpya ambayo ameiita-Before I Self Destruct ambayo itakuwa na ngoma kumi na nane ikwemo hit song Get Up ilio tengenezwa na Scott Storch ngoma nyingine ambayo minazani itakuwa kali ni Norman Bates Motel ambayo amefanya na Eminem na nimkono wa DR Dre.50 anatarajia kuachia albam hiyo November 23, 2009 tarehe ambayo Wyclef Jean - anazindua nae albam yake ya Toussaint St. James: From The Hut, To The Projects na Rihanna nae atatambulisha albam yake tarehe hiyo iitwayo- Rated R akiwa ameifanya katika label za Universal/Def Jam

CHEKI ARTIST WANAO RELEASE ALBAM NOV..

November 23, 2009
Birdman - Pricele$$
Label: Universal/Cash Money

November 23, 2009
Jay Sean - All Or Nothing
Label: Cash Money/Universal Republic Timbaland - Shock Value 2

November 23, 2009
LL Cool J - All World: Greatest Hits Volume 2
Label: Def Jam

November 24, 2009
Army Of The Pharaohs - The Unholy Terror
Label: iHipHop

November 24, 2009
Wiz Khalifa - Deal Or No Deal

November 24, 2009
Jay-Z - Greatest Hits
Label: Def Jam

November 23, 2009
Timbaland - Shock Value 2
Label: Blackground/Mosley Music/Interscope

ROUND HII MCHIZ NDANI YA MOVIE,.....


Kama unapenda amerikani movie kama mimi kaa tayari kucheki movie ya king of miami RICK ROSS,,,......MoVIE ambayo atafanya na mkali mwingine wa comedi Mike Epps pamoja na washikaji zake alionao katika kundi moja.....ajaweka wazi itaitwaje movie hiyo lakini anasema ivi....“I am more prepared now than I ever have been before in my life.....

KANYE MATATIZONI.....


mkali wa HIP HIP na PRODUCE amejikuta akitakiwa kufanya kazi za kusaidia jamii kwa masaa 50 yeye pamoja na road manager wake Don Crowley baada ya kuwafanyia vurugu mapapalazi na kuwavunja vitendea kazi vyao camera + mic wakati wakitaka kukwea mwewe(pipa) kuelekea paris france kwenye Airport ya Los Angeles International…… ………..court commissioner Mark Zuckerman ametoa hukumu hiyo kwa wote wawili kanye na don Crowley ……………. kanye na don walishindwa kukana kosa kwakuwa mahakama ilikuuwa na ushahida wa kutosha kuhusia na tukio hilo zikiwemo picha za vidio zilizo muonesha kanye na Don Crowley wakifanya vurugu hizo….

Tuesday, October 27, 2009

COPY MY SWAGG


Mnyamwezi Clifford Joseph Harris, Jr.wengi twamjua kama TI.....dah mchizi anaswagg mbayaaaaaaaaaaaa

NISAUTI TU HAZIBANWI PUA..


Q,JAY na MAKAFAMUA Ukizungumzia wakali kwanza unawazungumzia wao watarajia ku-drop na albam ya pamoja...wameiita HAZIBANWI PUA