Wednesday, October 28, 2009

50-IS BACK


MCHIZI anataraji kuachia albam mpya ambayo ameiita-Before I Self Destruct ambayo itakuwa na ngoma kumi na nane ikwemo hit song Get Up ilio tengenezwa na Scott Storch ngoma nyingine ambayo minazani itakuwa kali ni Norman Bates Motel ambayo amefanya na Eminem na nimkono wa DR Dre.50 anatarajia kuachia albam hiyo November 23, 2009 tarehe ambayo Wyclef Jean - anazindua nae albam yake ya Toussaint St. James: From The Hut, To The Projects na Rihanna nae atatambulisha albam yake tarehe hiyo iitwayo- Rated R akiwa ameifanya katika label za Universal/Def Jam

No comments: