Wednesday, October 28, 2009

KANYE MATATIZONI.....


mkali wa HIP HIP na PRODUCE amejikuta akitakiwa kufanya kazi za kusaidia jamii kwa masaa 50 yeye pamoja na road manager wake Don Crowley baada ya kuwafanyia vurugu mapapalazi na kuwavunja vitendea kazi vyao camera + mic wakati wakitaka kukwea mwewe(pipa) kuelekea paris france kwenye Airport ya Los Angeles International…… ………..court commissioner Mark Zuckerman ametoa hukumu hiyo kwa wote wawili kanye na don Crowley ……………. kanye na don walishindwa kukana kosa kwakuwa mahakama ilikuuwa na ushahida wa kutosha kuhusia na tukio hilo zikiwemo picha za vidio zilizo muonesha kanye na Don Crowley wakifanya vurugu hizo….

No comments: