Thursday, October 29, 2009

BIF"50 V/S LIL WYNE & BIRDMAN

Baada 50  kumdiss lil wayne kwa kumuita "a whore" bifu hilo limeendelea kukuwa kufuatia cent kurelease ngoma mpya "part time lover" ambao wazi humo ndani amewadisi wana cash money lil wyne pamoja na baby au birdman kama anavyopenda aitwe hivi sasa......pia newz zinasema kwamba lil weezy yupo tayari kumjibu 50 na inasemekana majibu hayo yatakuwa kwenye ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuirelease hivi karibuni ambayo ameipa jina la "Gossip"...............lakini kutokana na bifu hiyo kupamba moto wadau wa HIP HOP wanadai bif hiyo inachochewa makusudi ili 50 na birdman yani baby wakae midomoni mwawatu ili wauze albamu zao kwa kuwa wote wana tarajia kurelease albam zao mwezi ujao november 23..wakati 50 anaachia "before i self distract"birdman anachia pricele$$........


No comments: