Saturday, October 31, 2009

UP COMING ANAYETESA bilbord CHAT..

Jamaa ni muingereza"Kamaljit Singh Jhooti" wengi twamjua kama Jay sean yupo ndani ya cash money.anangoma yake"Down" ambayo kampa shavu mkali Lil Wayne ambayo mwezi huu imesumbua #1 kwa wiki kadhaa ndani TOP Billboard Hot 100 na mauzo ya singo hiyo ambayo itakuwa kwenye albam ya tatu "all or nothing"yamefikia platinum....single yake hiyo imeuza copies million mbili us pekee na kumfanya awe msanii wa kwanza wa kiume wa UK kuwa namafanikio ndani ya US CHART na amevuja record ailiokuwa imewekwa na elton John tangu mwaka 1997...

No comments: