Friday, May 28, 2010

Guess who’s back..dabrat beiiibi.

dabrat ameachiwa huru kwa muda kutoka jela ambako aliukumiwa miaka mitatu baada ya kumpiga muudumu wa nightclub kichwani Atlanta nchini marekani 2007
Da brat ameachiwa kupitia program ya work release ambapo anatakiwa kufanya kazi zake akimaliza kufanya kazi atarudi jela kumalizia kifungo chake
Dabrat kwasasa anasema amejipanga kurudi katika game kwa kuja mixtape mpya pamoja na albam na mipango yote hiyo anaipanga akiwa na Jermaine Dupri ambaye ndiye anayesimamamia kazi zake kwa sasa, na anasema anafanya kazi kwa masaa mengi zaidi ili project hizo zimalizike kwa wakati kwakuwa atatakiwa kurudi jela japo ajaweka wazi ni lini atarudi huko...

Huyu ndo 50 cent mpya,baada yakupunguza uzito..

 

yote hii ni kutokana na kazi ya kurekodi filamu " Things Fall Apart"ambayo ilimlazimu kupunguza uzito aliokuwa nao,kwenye movie hiyo amecheza kama mwanasoka ambaye ana ugonjwa wa kansa .
50 Cent amepunguza uzito zaidi ya paundi 160 kutoka uzito aliokuwa nao awali wa paundi 214 kwa kutumia vyakula vya majimaji tu huku akiwa na zoezi la kutembea masaa matatu kila siku kwa mguu.
50 Cent  amezindua ziara yake kimuziki ijumaa hii katika jimbo la Cleveland amesema ameanza kula hivyo anatarajia kurudi katika shape yake ya zamani.

Wednesday, May 26, 2010

Gaga akili kutumia drugs.

Lady Gaga  kaweka wazi kuwa anatumia madawa ya kulevya tangu zamani lakini kwa sasa anatumia mara moja moja na anaamini kwa maramoja madawa hayawezi kumuuwa mtu yeyote


Mwanadada huyo anasema amekuwa amekuwa akitumia madawa pindi anapojisikia kuiburudisha nafsi yake lakini kwasasa havuti bangi labda sigara kidogo na kilevi chake kikubwa ni whisky,,saivi anadai hataki kutumia sana vilevi ili asiaribu sauti yake ambayo inampa kula..

Nas, Kelis Officially Divorced But, No Custody Order ..

Ndoa kati ya rapa Nas na mwimbaji wa muziki wa R&B Kelis imevunjika rasmi mbele ya jaji wa Los Angeles ijumaa iliyopita katika mahakama ya juu ya Los Angeles huku masuala mbalimbali yakibaki bila kutatuliwa likiwemo suala zima la gharama za matunzo ya mtoto ambazo Nas alitakiwa kumlipa Kelis

Nas na Kelis walifunga ndoa mwaka 2005 na sherehe kufanyika huko Atlanta ni baada ya kukaa katika mahusiano kwa kipindi cha miaka miwili na mwaka 2009 Kelis akafungua mashtaka kutaka talaka kutokana na kutoelewana baina yao jambo ambalo Nas alilipinga akitaka kwanza mtoto wao mdogo azaliwe na hata kipindi hiki ambacho shauri la talaka likiwa mahakamani Kelis alikuwa akimkatalia Nas kuja kumuona mtoto wake

Tuesday, May 25, 2010

justin bieber na tottoo 4 the 1th tym.

brian ndo aliyemchapisha justin beiber hizo tottoo kwa mara ya kwanza na jamaa amemsimu sana dogo kwa kuwa mtulivu na kuto kulia tofauti na madogo wa umri wake aliowahi kuwachapisha tottoo..

Justin Bieber plays on Whale Beach in Sydney, Australia, unaware that he is shocking the world with his bird tattoo.

Monday, May 24, 2010

Nas Says Hip Hop Is No Longer Dead

In a recent interview with the Wall Street Journal, Nas has revealed that he no longer believes that Hip Hop is dead.
“It died several times, but I do believe in the heartbeat of it right now,” says Nas, whose 2006 release Hip Hop Is Dead engenders discussion even to this day about the state of the genre. “There are a lot of new artists, and artists that have been around, who are kicking ass right now. I just wanted to give a boost to people and to myself, to push people to go harder. It’s a different world now.”
No word on whether Nas' next album will be titled Hip Hop Is Alive, but stay tuned for updates regarding the matter.

Wednesday, May 19, 2010

duuh!hii sijui ni swagg mpya!

duuh sijui ni staily au,hiyo pensi ,kiatu na koti aliovaa fharrell(katikati) kwenye hafra ya 63rd Annual Cannes Film Festival at the Hotel du Cap-Eden-Roc in Cannes, France,duuh noma hebu cheki mwenzake walivyo nyuka vitu vya ukweli...
katika hiyo hafra jennifer hadson naye alikuepo-kweli unene kwake sio ishu mtiani wa kupunguza mwili wake kapata 100.

Friday, May 14, 2010

chek swagg za Fabolous alipozuru "Pyramids" Egypt


Fabolous au Euro Loso kama anavyotaka aitwe hivi sasa jamaa alikuwa anatour Egypt nakuzuru Great Pyramids and the Great Sphinx of Giza kama unavyomuona akiwa amevaa Louis Vuitton scarf katika kichwa chake. Jamaa pia atazuru Germany na Switzerland kupromote latest album Loso’s Way.



Wednesday, May 12, 2010

Gucci Manne aachiwa huru leo..


 Gucci Mane  jina  kamili  (Radric Davis) hii leo ameachiliwa kutoka katika jela ya Atlanta Fulton County baada ya kutumikia kifungo cha miezi sita baada ya kukiuka taratibu alipowekwa chini ya uangalizi .Gucci Mane alipotoka tu jela alipokelewa na rafiki yake mkubwa Shawty kabla ya

hapa baada ya kuachiwa huru anazungumza na waandishi wa habari zaidi ya 50,amesema alifanya makosakatika maisha yake ambayo yaliwaumiza watu wengi wanaomjali na atafanya jitihada zote kuwasahaulishawatu wake yaliyotokea huko nyuma akiwa uraiani na makosa kama hayo hayatajirudia

Miezi sita imekuwa ni wakati mgumu sana kwangu  ila nimejifunza mambo mengi, amesema Gucci Manne"jamaa alikwenda jela kabla ya kuzindua album yake ya The state VS Radric Davis ambayo ilifanya vyema na kuwa katika chati za Billiboard ikiwa katika zile namba 10

Chilli:nampenda Usher licha ya kuwa sio mwaminifu....

Mpenzi wa usher raymound chilli ambaye pia ni membar wa kundi la TLC amesema pamoja na kuwa usher sio mwaminifu katika mahusiano yao lakini bado anampenda na hafikiri kuachana naye kwa kuwa dizain alishajaribu kufanya hivyo akashindwa...

Tuesday, May 11, 2010

BOBBY BROWN AVUTA JIKO..

Bobby brown na mke wake wa sasa Alicia Etheridge ambaye alimtamblisha rasmi ijumaa iliyopita katika stage Jacksonville,huko Florida ambaye anamtoto wa miezi 11  Bobby – alianza uhusiano na Alicia miaka iliyopita laiki tayari anamtoto wa kike mwenye miaka 17 Bobbi Kristina ambaye amezaa na Whitney na anawatoto wengine watatu aliozaa na wapenzi wake wengine     

Sunday, May 9, 2010

Mothers day!

leo ni mothers day japo kuwa nchi nyingine siku hii walishaadhimisha lakini leo Tanzania tunaungana
Australia,Austria,Bahamas,Bangladesh,Barbados,Belgium,Brazi,Bulgaria,Canada,Chile,People's Republic of China na nyingine nyingi nchi ambazo zimekwisha adhimisha siku hii ni pamoja na Ireland,Nigeria na United Kingdom ambao wao wameadhimisha march 14..

Leona Lewis kumbe hali "kisusio"

 leona akiwa na mpenzi wake lou al chamaa ambaye amedumu naye kwa miaka mi5 na leona anasema hafikiri kupata mtoto hivi karibuni labda baada ya miaka kama 10 hivi anywayz hiyo sio bigdeal issue kubwa nikwambwa mwanadada huyu licha yakuwa sio rasta lakini ni "vegetarian" kitu cha nyama hatumii wala havai vitu vinavyozalishwa na product za wanyama, duuuuh ni noma jamaaa..