Sunday, May 9, 2010

Leona Lewis kumbe hali "kisusio"

 leona akiwa na mpenzi wake lou al chamaa ambaye amedumu naye kwa miaka mi5 na leona anasema hafikiri kupata mtoto hivi karibuni labda baada ya miaka kama 10 hivi anywayz hiyo sio bigdeal issue kubwa nikwambwa mwanadada huyu licha yakuwa sio rasta lakini ni "vegetarian" kitu cha nyama hatumii wala havai vitu vinavyozalishwa na product za wanyama, duuuuh ni noma jamaaa..

2 comments:

Anonymous said...

Sasa mzee unashangaa nini? mbona kuna watu wengi tu hatumii nyama, ni huko tu bongo mnaona bila nyama hakuna chakula, huku kwa wenzetu nyama siyo big deal.

twenty 4 seven said...

na vip kuhusiana na kuto kuvaa vitu vyenye product za mwanyama?