Friday, May 28, 2010

Guess who’s back..dabrat beiiibi.

dabrat ameachiwa huru kwa muda kutoka jela ambako aliukumiwa miaka mitatu baada ya kumpiga muudumu wa nightclub kichwani Atlanta nchini marekani 2007
Da brat ameachiwa kupitia program ya work release ambapo anatakiwa kufanya kazi zake akimaliza kufanya kazi atarudi jela kumalizia kifungo chake
Dabrat kwasasa anasema amejipanga kurudi katika game kwa kuja mixtape mpya pamoja na albam na mipango yote hiyo anaipanga akiwa na Jermaine Dupri ambaye ndiye anayesimamamia kazi zake kwa sasa, na anasema anafanya kazi kwa masaa mengi zaidi ili project hizo zimalizike kwa wakati kwakuwa atatakiwa kurudi jela japo ajaweka wazi ni lini atarudi huko...

No comments: