Friday, May 28, 2010

Huyu ndo 50 cent mpya,baada yakupunguza uzito..

 

yote hii ni kutokana na kazi ya kurekodi filamu " Things Fall Apart"ambayo ilimlazimu kupunguza uzito aliokuwa nao,kwenye movie hiyo amecheza kama mwanasoka ambaye ana ugonjwa wa kansa .
50 Cent amepunguza uzito zaidi ya paundi 160 kutoka uzito aliokuwa nao awali wa paundi 214 kwa kutumia vyakula vya majimaji tu huku akiwa na zoezi la kutembea masaa matatu kila siku kwa mguu.
50 Cent  amezindua ziara yake kimuziki ijumaa hii katika jimbo la Cleveland amesema ameanza kula hivyo anatarajia kurudi katika shape yake ya zamani.

No comments: