Wednesday, May 26, 2010

Nas, Kelis Officially Divorced But, No Custody Order ..

Ndoa kati ya rapa Nas na mwimbaji wa muziki wa R&B Kelis imevunjika rasmi mbele ya jaji wa Los Angeles ijumaa iliyopita katika mahakama ya juu ya Los Angeles huku masuala mbalimbali yakibaki bila kutatuliwa likiwemo suala zima la gharama za matunzo ya mtoto ambazo Nas alitakiwa kumlipa Kelis

Nas na Kelis walifunga ndoa mwaka 2005 na sherehe kufanyika huko Atlanta ni baada ya kukaa katika mahusiano kwa kipindi cha miaka miwili na mwaka 2009 Kelis akafungua mashtaka kutaka talaka kutokana na kutoelewana baina yao jambo ambalo Nas alilipinga akitaka kwanza mtoto wao mdogo azaliwe na hata kipindi hiki ambacho shauri la talaka likiwa mahakamani Kelis alikuwa akimkatalia Nas kuja kumuona mtoto wake

No comments: