Sunday, May 9, 2010

Mothers day!

leo ni mothers day japo kuwa nchi nyingine siku hii walishaadhimisha lakini leo Tanzania tunaungana
Australia,Austria,Bahamas,Bangladesh,Barbados,Belgium,Brazi,Bulgaria,Canada,Chile,People's Republic of China na nyingine nyingi nchi ambazo zimekwisha adhimisha siku hii ni pamoja na Ireland,Nigeria na United Kingdom ambao wao wameadhimisha march 14..

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

mimi bila kuja kwani hapa hiyo siku ni 30/5. haya hata hivyo napenda kuwatakia akina mama wote kila la kheri kwa siku hii nikiwemo mimi mwenyewe na pia nachukua nafasi hii kumtaja mama yangu Alana Ngonyani. Pia napenda kuwashukuru akina baba pia na kaka zetu,wajomba, babu kwa kuwahusudu akina mama, dada, bibi, shangazi,nk. HONGERA SANA . NA KUMBUKENI HAKUNA KAMA MAMA.UPENDO DAIMA!!