Wednesday, May 12, 2010

Gucci Manne aachiwa huru leo..


 Gucci Mane  jina  kamili  (Radric Davis) hii leo ameachiliwa kutoka katika jela ya Atlanta Fulton County baada ya kutumikia kifungo cha miezi sita baada ya kukiuka taratibu alipowekwa chini ya uangalizi .Gucci Mane alipotoka tu jela alipokelewa na rafiki yake mkubwa Shawty kabla ya

hapa baada ya kuachiwa huru anazungumza na waandishi wa habari zaidi ya 50,amesema alifanya makosakatika maisha yake ambayo yaliwaumiza watu wengi wanaomjali na atafanya jitihada zote kuwasahaulishawatu wake yaliyotokea huko nyuma akiwa uraiani na makosa kama hayo hayatajirudia

Miezi sita imekuwa ni wakati mgumu sana kwangu  ila nimejifunza mambo mengi, amesema Gucci Manne"jamaa alikwenda jela kabla ya kuzindua album yake ya The state VS Radric Davis ambayo ilifanya vyema na kuwa katika chati za Billiboard ikiwa katika zile namba 10

No comments: