Thursday, August 12, 2010
baada ya kuji-overdoze na kukimbizwa hospital;Fantasia's 911 Call Leaked [Audio]
While blogs still bubble from news of Fantasia's recent overdose, TMZ obtained audio of the 911 call that may have saved the American Idol star's life.
The caller calmly explained to the 911 operator that Fantasia had swallowed an entire bottle of aspirin and was slowly losing consciousness. The caller also stated that Fantasia's family had guided her to the shower in hopes of regaining stability. However, the call was quickly instructed to remove 'Tasia from the shower.UPDATE:kwasa amearuhusiwa kutoka hospital mara baada ya kulazwa kwa siku mbili baada ya kujichapiiiiisha madawa (asplin)
Tuesday, July 27, 2010
LEAKED INVITATION PIC* T.I. & Tiny's Wedding Is Going Down In Miami NEXT WEEKEND!
T.I. pamoja na girlfriend wake wa muda mrefu Tiny's inadaiwa wapepnga kuchapishana pete za ndoa July 31st in Miami.
Na rangi za harusi hiyo itakuwa ni "platinum" and black. Harusi hiyo ambayo mipango yake ni siri sana inatarajiwa kuhudhuliwa na mastaa kibao akiwemo group mate wa Tinys Kandi Burruss hii ni INVITATION card ya harusi hiyo imeleak kitaaa
Wednesday, July 21, 2010
chek swagga mpyaa....
jamie foxx
duh!sijui ndo swagga mpya ,siunacheki mwenyewe kichwa cha mkali katika mziki na movie jamie foxx alivyo zichapisha hizo tatoo..ili swagga hii iwe on haitakiwi nywele ziote.
Friday, July 16, 2010
Week-end njema..
huku iringani kuna baridi kwasasa dizani ni msimu wake ndomaana swagg za vitu vizito zipo on,hapa nimekosa grovs kwa mikono..week-end njema taratibu huko tuendako jamani tujarifu kumfupisha bata tunayemla asiwe mrefu sana....
Wednesday, July 14, 2010
Hii ndo barua iliochapishwa na Lil weezy kwa mafanc wake "kutoka jela..
Hello world… I’m good. Siku zinaenda na nina furaha ,sehemu kubwa na furaha yangu inakuja kutokana na kusikia sauti za watoto wangu ambao nazungumza mara kwa mara na furaha nyingine inakuja kwa kuwa Napata mail kutoka kwa mafans wakinifariji .
Najihisi nina mafans wa kweli katika hii dunia kwa kuwa bado wananisapport na wananipenda nawengine huniombea pia,sikuwahi kufikilia kama nina maana kubwa kwa watu ila sasa nimejua nawaahidi kuwa makini sana nikitoka Weezy anasema amekwisha kuandika ngoma kali na amekuwa akisikiliza radio na kusikia ngoma mpya anasema nyingine anazipenda nikali lakini najivunia mafanikio wanayoyapata kundi langu la young money na wala sishangai kwani ndivyo inavyotakiwa kufanya.
Nampongeza Drake na Nicki kwa mafanikio wanayoyapata
Lil wyne anasema akiwa jela anaamuka mida kama ya saa5 asubui hivi nachapisha kitu chakahawa kasha naenda kwenye simu kuzungumza na watoto wangu na mama yangu kasha nasoma fan mail na soma vitabu naandika idea na kasha kabla sijalala nasoma bible hivyo ndivyo siku yangu inavyo isha
Tunechi.
Tuesday, July 13, 2010
The-dream & Christina Milian
Christina Milian na The-Dream wameachana rasmi mara baada yakukaa pamoja kwa mwakammoja .
The dream anasema walikuwa wamekwisha kuachana tangu mwaka jana baada ya uhusiano wao kuwa hauna mafanikio ila waliamua kufanya privete ili kumlinda motto wao Violet aliyezaliwa miezi mitano iliyopita .
Christina Milian na The-Dream katika moja ya picha wakati wa ndoa yao.sasa kila mmojakashika zake...

Celebrities bila makeup----inawezekana!
beyonce hapa akiwa ajatia chochote usoni mwake
alicia keys-bila makeup
mama wawili naye akiwa hajapiga kitu cha makeup (jlo)
kutana na opral akiwa ametoka kuamka ,
celebrity bila makeup inawezekna kama vivi wazichunie mbona wanapendeza!au macho yangu?
Friday, July 9, 2010
Im back building...
One love..
Yakii & jree
dah ebwanae picha hii siku zimepita ....leo nilikuwa nachek chek facebook nikakutna na hii picha kwenye photos za yakii ,dah hiii ilikuwa ni Tumaini unvst kulikuwa na parfomance flani....
Monday, June 14, 2010
Ebony fm;Part ya kutimiza miaka minne.
baadhi ya wafanyakazi wa ebony kushoto ibrahim issa,sag,glory pele,allen philipo bog,mwalubadu,mallegesi aka jembe na hatya omary -utambulisho ukiedelea.
pia nilikuwepo hapo kwapembeni ni Ne-mo
bony sly na judith mzuri kwao
mambo ya staili kutoka south afrika
mambo ya kitu kitamu
tarehe 29 -5 Ebony fm 2lienda chimala mbeya kucheza match chek kidogo ilivyo kuwa..
baada ya game watu bata mrefu akaanza kunyonyolewa kama unavyo ona-kulia ney wa mitego ,jema,bahati alex and the man am self.
safari ya kwenda chimala mbeya ndani gari
kikosi kilicheza na watuma salam chimala wiki mbili zilizopita
pasha misuri
bata baada ya gametata
Friday, May 28, 2010
Guess who’s back..dabrat beiiibi.
dabrat ameachiwa huru kwa muda kutoka jela ambako aliukumiwa miaka mitatu baada ya kumpiga muudumu wa nightclub kichwani Atlanta nchini marekani 2007
Da brat ameachiwa kupitia program ya work release ambapo anatakiwa kufanya kazi zake akimaliza kufanya kazi atarudi jela kumalizia kifungo chake
Dabrat kwasasa anasema amejipanga kurudi katika game kwa kuja mixtape mpya pamoja na albam na mipango yote hiyo anaipanga akiwa na Jermaine Dupri ambaye ndiye anayesimamamia kazi zake kwa sasa, na anasema anafanya kazi kwa masaa mengi zaidi ili project hizo zimalizike kwa wakati kwakuwa atatakiwa kurudi jela japo ajaweka wazi ni lini atarudi huko...

Huyu ndo 50 cent mpya,baada yakupunguza uzito..
yote hii ni kutokana na kazi ya kurekodi filamu " Things Fall Apart"ambayo ilimlazimu kupunguza uzito aliokuwa nao,kwenye movie hiyo amecheza kama mwanasoka ambaye ana ugonjwa wa kansa .
50 Cent amepunguza uzito zaidi ya paundi 160 kutoka uzito aliokuwa nao awali wa paundi 214 kwa kutumia vyakula vya majimaji tu huku akiwa na zoezi la kutembea masaa matatu kila siku kwa mguu.
50 Cent amezindua ziara yake kimuziki ijumaa hii katika jimbo la Cleveland amesema ameanza kula hivyo anatarajia kurudi katika shape yake ya zamani.
Wednesday, May 26, 2010
Gaga akili kutumia drugs.
Lady Gaga kaweka wazi kuwa anatumia madawa ya kulevya tangu zamani lakini kwa sasa anatumia mara moja moja na anaamini kwa maramoja madawa hayawezi kumuuwa mtu yeyote
Mwanadada huyo anasema amekuwa amekuwa akitumia madawa pindi anapojisikia kuiburudisha nafsi yake lakini kwasasa havuti bangi labda sigara kidogo na kilevi chake kikubwa ni whisky,,saivi anadai hataki kutumia sana vilevi ili asiaribu sauti yake ambayo inampa kula..

Nas, Kelis Officially Divorced But, No Custody Order ..
Ndoa kati ya rapa Nas na mwimbaji wa muziki wa R&B Kelis imevunjika rasmi mbele ya jaji wa Los Angeles ijumaa iliyopita katika mahakama ya juu ya Los Angeles huku masuala mbalimbali yakibaki bila kutatuliwa likiwemo suala zima la gharama za matunzo ya mtoto ambazo Nas alitakiwa kumlipa Kelis
Nas na Kelis walifunga ndoa mwaka 2005 na sherehe kufanyika huko Atlanta ni baada ya kukaa katika mahusiano kwa kipindi cha miaka miwili na mwaka 2009 Kelis akafungua mashtaka kutaka talaka kutokana na kutoelewana baina yao jambo ambalo Nas alilipinga akitaka kwanza mtoto wao mdogo azaliwe na hata kipindi hiki ambacho shauri la talaka likiwa mahakamani Kelis alikuwa akimkatalia Nas kuja kumuona mtoto wake

Tuesday, May 25, 2010
justin bieber na tottoo 4 the 1th tym.
brian ndo aliyemchapisha justin beiber hizo tottoo kwa mara ya kwanza na jamaa amemsimu sana dogo kwa kuwa mtulivu na kuto kulia tofauti na madogo wa umri wake aliowahi kuwachapisha tottoo..
Justin Bieber plays on Whale Beach in Sydney, Australia, unaware that he is shocking the world with his bird tattoo.
Monday, May 24, 2010
Nas Says Hip Hop Is No Longer Dead
In a recent interview with the Wall Street Journal, Nas has revealed that he no longer believes that Hip Hop is dead.
“It died several times, but I do believe in the heartbeat of it right now,” says Nas, whose 2006 release Hip Hop Is Dead engenders discussion even to this day about the state of the genre. “There are a lot of new artists, and artists that have been around, who are kicking ass right now. I just wanted to give a boost to people and to myself, to push people to go harder. It’s a different world now.”
No word on whether Nas' next album will be titled Hip Hop Is Alive, but stay tuned for updates regarding the matter.

Wednesday, May 19, 2010
duuh!hii sijui ni swagg mpya!
duuh sijui ni staily au,hiyo pensi ,kiatu na koti aliovaa fharrell(katikati) kwenye hafra ya 63rd Annual Cannes Film Festival at the Hotel du Cap-Eden-Roc in Cannes, France,duuh noma hebu cheki mwenzake walivyo nyuka vitu vya ukweli...
katika hiyo hafra jennifer hadson naye alikuepo-kweli unene kwake sio ishu mtiani wa kupunguza mwili wake kapata 100.
Friday, May 14, 2010
chek swagg za Fabolous alipozuru "Pyramids" Egypt
Fabolous au Euro Loso kama anavyotaka aitwe hivi sasa jamaa alikuwa anatour Egypt nakuzuru Great Pyramids and the Great Sphinx of Giza kama unavyomuona akiwa amevaa Louis Vuitton scarf katika kichwa chake. Jamaa pia atazuru Germany na Switzerland kupromote latest album Loso’s Way.
Wednesday, May 12, 2010
Gucci Manne aachiwa huru leo..
hapa baada ya kuachiwa huru anazungumza na waandishi wa habari zaidi ya 50,amesema alifanya makosakatika maisha yake ambayo yaliwaumiza watu wengi wanaomjali na atafanya jitihada zote kuwasahaulishawatu wake yaliyotokea huko nyuma akiwa uraiani na makosa kama hayo hayatajirudia
Chilli:nampenda Usher licha ya kuwa sio mwaminifu....
Mpenzi wa usher raymound chilli ambaye pia ni membar wa kundi la TLC amesema pamoja na kuwa usher sio mwaminifu katika mahusiano yao lakini bado anampenda na hafikiri kuachana naye kwa kuwa dizain alishajaribu kufanya hivyo akashindwa...
Tuesday, May 11, 2010
BOBBY BROWN AVUTA JIKO..
Bobby brown na mke wake wa sasa Alicia Etheridge ambaye alimtamblisha rasmi ijumaa iliyopita katika stage Jacksonville,huko Florida ambaye anamtoto wa miezi 11 Bobby – alianza uhusiano na Alicia miaka iliyopita laiki tayari anamtoto wa kike mwenye miaka 17 Bobbi Kristina ambaye amezaa na Whitney na anawatoto wengine watatu aliozaa na wapenzi wake wengine
Sunday, May 9, 2010
Mothers day!
leo ni mothers day japo kuwa nchi nyingine siku hii walishaadhimisha lakini leo Tanzania tunaungana
Australia,Austria,Bahamas,Bangladesh,Barbados,Belgium,Brazi,Bulgaria,Canada,Chile,People's Republic of China na nyingine nyingi nchi ambazo zimekwisha adhimisha siku hii ni pamoja na Ireland,Nigeria na United Kingdom ambao wao wameadhimisha march 14..

Leona Lewis kumbe hali "kisusio"
leona akiwa na mpenzi wake lou al chamaa ambaye amedumu naye kwa miaka mi5 na leona anasema hafikiri kupata mtoto hivi karibuni labda baada ya miaka kama 10 hivi anywayz hiyo sio bigdeal issue kubwa nikwambwa mwanadada huyu licha yakuwa sio rasta lakini ni "vegetarian" kitu cha nyama hatumii wala havai vitu vinavyozalishwa na product za wanyama, duuuuh ni noma jamaaa..
Subscribe to:
Posts (Atom)