Friday, April 30, 2010

Game aanza kutengeneza Video za ngoma kutoka kwenye R.E.D Album..

Game and Pharrell wakiwa kitaa wakifanya video ya ngoma mpya ya game “It Must Be Me,”kwenye gari la kuuzia ice cream,ngoma inatoka kwenye project mpya ya game R.E.D. Album.ndani yake kuna mikono ya Dr. Dre na Cool
hzi ni bahadhi ya clip zilizomo kwenye ngoma hiyo najua itakuwa kali mbaya siunacheki wanyawezi walivyojiachia.....
Kiukweli game anamappreciate sana Neptunes produce Pharrell kwa kuthibitisha hilo game ana tattoo ktika mkono wake yenye logo la Fharrellgame unajua anasemaje kuhusu fharrell. “Pharrell’s gonna take my career to the next level, keep me ’hood and cross me over at the same time by executive producing my album……..

Friday, April 23, 2010

Salam za week-end kutoka A-Toun...

Jamaa kiukweli nimkali katika milazo DJ Ommy kutoka MAMBOJAMBO FM Arusha..hapo muache yupo kwa job.
Duuuuh...ananikumbusha mbali huyu mwana coz kitambo nilisha fanya nae show moja nikiwa pande hizo anaweza naye kwa yupo kwakazi wote nivijana wa vJESSE RUTAIGWA (93.0 mambo jambo fm)wanakupa salamu za week-end kupitia hapa.....twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com

Thursday, April 22, 2010

Baada ya kupata tiba Rihana aendelea na Show..


wawakilishi wa rihana wameprove juu ya taarifa za kulazwa kwake Switzerland wamesema alifanyiwa uchunguzi tu wa sehemu aliyoumia katika moja ya show zake na kuruhusiwa katika hospitali binafsi huko Zurich baada ya kupata matibabu
Rihanna baada ya kutoka hospitali alielekea huko Lyon Ufaransa kwa ajili ya tamasha lake linalofuata katika ziara yake ya Last Girl on Earth .
Msemaji wa mwanamuziki huyo amewahakikishia mashabiki wake kuwa Rihanna yupo sawa na jumanne alipeform Lyon na jana alikamua Marseille ziara inaendelea

Friday, April 16, 2010

SILENCE PLS...

baada ya kazi kwa siku tano mfululizo kama unavyoona nikiwa na stuffmate kiduchu sasa kinachofuata, lets start week-end.

Keri Hilson kisura wa Avon Products inc..

Keri Hilson amepata kazi ya kuwa Avon lady. Ni kwamba amesaini mkataba na kampuni ya vipodozi mkataba ambao utamfanya auze sura katika lebo za pafyumu za campun
Campun hiyo ya Avon Products, Inc imesema mkali huyo wa . “Knock You Down”amefanya chia alizopita mwimbaji mwingine wa kike Jennifer Hudson,amenye Alisha wahi kusaini mkataba kama huo
Nimefurahishwa sana kutunukiwa kuwa kisura wa “Avon na anamini hicho nikitu kikubwa kwake na anaamini kunamanufaa makubwa sana atayapata kupitia Avon
Mrembo huyo kutopka Atlanta ambaye hivi sasa yupo studio anatengeneza albam yake mpya In a Perfect World…, atanza kuonekana katika bidhaa hizo za Avon’ kuanza mwezi August mwaka huu klakini mwezi huu kuna part imeandaliwa kwa ajili ya uziduzi wa bidha hizo ambapo part hiyo itaudhuriwa na masuper star kibao wakiwemo Fergie, Courteney Cox, Patrick Dempsey, Zoe Saldana, Reese Witherspoon, and Derek Jeter.

T.I. Announces New Album Title..

T.I. ametangaza jina na tarehe ya kutoka kwa albam yake ya saba baada ya albam yake iliopita ya paper trail kufanya vizuri sokoni na kufikia mauzo ya double-platinum sasa albamu yake mpya itaitwa King Uncaged,na inatengenezwa chini ya Jim Jonsin, B.o.B, Danja, na The Runners na itatoka August 24 na tayar kuma alioiachia kutoka kwenye project hiyo “I’m Back”inakama namba . 65 kwenye Billboard Hot 100.


Katika interview yakwanza kuifanya, the King TI baada ya kutoks jela alisema albam ya “Paper Trail ilikuwa inahusu zaidi hisia zake hivyo hii inayofuata itakuwa na hisia za zaidi

Thursday, April 15, 2010

OUTKAST PAMOJA TENA....

Outkast wamepanga kurekodi albamu yao yao ya pamoja ya kwanza baada ya miaka minne kupita
Big Boi and Andre 3000 kwa mara ya mwisho waliachia albamu ya pamoja ya , Idlewild, mwaka 2006 ambayo ilikamata number mbili kwenye Billboard 200 nakufikia mauzo ya platinum huko marekani .

member hao wa out kast kila mmoja alikuwa anafanya kazi zake binafsi lakini Big Boi amesema sasa hivi wanafanya kazi ya pamoja lakini bado ni siri hivyo hawzi kuzungumzia undani wa kazi hiyo

Tuesday, April 13, 2010

NAS KUMLIPA KELIS DOLLA 10,000 KWA MWEZI...

Nas ametakiwa kumlipa mke wake wa zamani Kelis zaidi ya dola za kimarekani 250,000 kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake na bili ya masuala ya kisheria katika kesi yao inayoendelea kuhusiana na suala zima la talaka
Jaji wa mahakama ya juu ya Los Angeles amemuagiza msanii nas kumlipa kelis dola 47, 249 kwa ajili ya matunzo ya mtoto pesa alizotumia mama huyo kumtunza mwanae na zaidi ya dola 155,787 kwa ajili ya bili ya kesi aliyofungua kwa ajili ya kudai talaka na hivyo Nas kutakiwa kulipa dola 10,000 kila mwezi na anatakiwa kulipa dola 48, 549.83 zilizotumika katika account ya kelis ambaye pia ni mwanamuziki na mbunifu wa mavazi
Wakati msanii huyo anakumbwa na maswahiba hayo lakini pia anatarajia kuja na album mpya ya Distant Relatives akiwa na mkali Damien Marley itakayotoka mei 18 mwaka huu, huku Kelis akitarajia kuja na album yake mpya iitwayo flesh tone ambayo itaanza kupatikana july 6

Thursday, April 8, 2010

LIL WYNE APATA KAZI JELA..

Lil Wayne anaendelea na maisha yake akiwa jela katika kisiwa cha Rikers na hivi sasa bosi huyo wa Young Money amepatiwa kazi maalum ya kufanya akiwa jela.
Antonia Toya ambaye ni mpenzi wa lil wayne tangu wakisoma pamoja sekondari na pia mama wa binti wa Wayne aliye na miaka 11 sasa Reginae Carter amesema kazi ya Wayne jela ni kuangalia wafungwa wenzake wasiuane anawaangalia wafungwa walioshindikana wasipigane hadi kuuana, inaonyesha jamaa ni mtemi kuwazuia watemi, wababe kuacha kugombana ni kazi kubwa sana lakini anaipenda kazi hiyo ambayo haimlipi
Nyota huyo wa Hip hop anatumikia jela mwaka mzima kutokana na kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria baada ya kuhukumiwa mwezi uliopita lakini jela za wenzetu ni nzuri kwani hadi hivi sasa hajakata nywele zake ndefu
Antonia Toya,lil wyne na mtoto wao Reginae Carter

Tuesday, April 6, 2010

EBONY FC VS IRINGA SALAAM CLUB ILIKUWA JPILI YA PASAKA..

 
minilicheza kiungo wa kushoto kazi yangu ilikuwa moja tu kutengeza mipira ya mwisho .hapa kabla ya mchezo nipo na bony sly ambaye yeye ni golkeeper tegemeo kwa wa Ebony fc
Kikosi cha Ebony fm kikiingia uwanjani tayari kwa mchezo dhiti ya kikosi cha Iringa salaam club

 
mchezo huu ulimalizika kwa kutoka sare ya bao 2-2 daah, jamaa walichomoa kipindi cha pili kwa bahati bahati anywayz ndo mchezo 

BAADA YA SOCCAR NI KUSHOW LOVE......

Mwalubadu & Zuhura (1 love)
Sweetynoise band (santo maria)wakitoa flava katika bonanza la pasaka -samora
kushoto -Agape msumari,Zuhura & me (1 love)

Sunday, April 4, 2010

PASAKA NJEMA...

HII ni baada ya kwenda kusali sasa nakutakia pasaka poa..

LEO SAMORA..

moja ya burudani zitakazo kuepo leo katika viwanja vya samora
stage itakayotumika kwa show kutoka kwa AWILO PETRO kutoka mkoani mbeya jamaa ni mkali katika ngoma fulani za asili ,pia atakuepo mwanadada ZUHURA pamoja na NE-MO...Lakini piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia kutakuwa na mech kali kati ya wafanyakazi wa EBONY FM  na IRINGA SALAAM CLUB..