Thursday, April 15, 2010

OUTKAST PAMOJA TENA....

Outkast wamepanga kurekodi albamu yao yao ya pamoja ya kwanza baada ya miaka minne kupita
Big Boi and Andre 3000 kwa mara ya mwisho waliachia albamu ya pamoja ya , Idlewild, mwaka 2006 ambayo ilikamata number mbili kwenye Billboard 200 nakufikia mauzo ya platinum huko marekani .

member hao wa out kast kila mmoja alikuwa anafanya kazi zake binafsi lakini Big Boi amesema sasa hivi wanafanya kazi ya pamoja lakini bado ni siri hivyo hawzi kuzungumzia undani wa kazi hiyo

No comments: