Friday, April 16, 2010

SILENCE PLS...

baada ya kazi kwa siku tano mfululizo kama unavyoona nikiwa na stuffmate kiduchu sasa kinachofuata, lets start week-end.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nawaoneni hapo haya wikiend njema ni kweli kupumzika ni muhimu!!

bombaabrown said...

mekuuu niaje, mchizii nafatilia sanaa blogs yako, unakumbukaa nilikujaga kufanya field {mj fm}mazee,machizii kibao kipindi hiyo, mchizi hosen,chals,totomwasi, dj gupee, freidy, smith ebanaa ni yereee sanaa 2 endeleza libeneke, roger aka rajabu

(c)2504 said...

yahman pigeni mzigo kaka ndo mpango mzima!huyo kiduchu eeh?haya bwana naja huko itabidi unikutanishe!

(C)2504 MpR