Friday, April 16, 2010

T.I. Announces New Album Title..

T.I. ametangaza jina na tarehe ya kutoka kwa albam yake ya saba baada ya albam yake iliopita ya paper trail kufanya vizuri sokoni na kufikia mauzo ya double-platinum sasa albamu yake mpya itaitwa King Uncaged,na inatengenezwa chini ya Jim Jonsin, B.o.B, Danja, na The Runners na itatoka August 24 na tayar kuma alioiachia kutoka kwenye project hiyo “I’m Back”inakama namba . 65 kwenye Billboard Hot 100.


Katika interview yakwanza kuifanya, the King TI baada ya kutoks jela alisema albam ya “Paper Trail ilikuwa inahusu zaidi hisia zake hivyo hii inayofuata itakuwa na hisia za zaidi

No comments: