Thursday, April 22, 2010

Baada ya kupata tiba Rihana aendelea na Show..


wawakilishi wa rihana wameprove juu ya taarifa za kulazwa kwake Switzerland wamesema alifanyiwa uchunguzi tu wa sehemu aliyoumia katika moja ya show zake na kuruhusiwa katika hospitali binafsi huko Zurich baada ya kupata matibabu
Rihanna baada ya kutoka hospitali alielekea huko Lyon Ufaransa kwa ajili ya tamasha lake linalofuata katika ziara yake ya Last Girl on Earth .
Msemaji wa mwanamuziki huyo amewahakikishia mashabiki wake kuwa Rihanna yupo sawa na jumanne alipeform Lyon na jana alikamua Marseille ziara inaendelea

No comments: