Friday, April 23, 2010

Salam za week-end kutoka A-Toun...

Jamaa kiukweli nimkali katika milazo DJ Ommy kutoka MAMBOJAMBO FM Arusha..hapo muache yupo kwa job.
Duuuuh...ananikumbusha mbali huyu mwana coz kitambo nilisha fanya nae show moja nikiwa pande hizo anaweza naye kwa yupo kwakazi wote nivijana wa vJESSE RUTAIGWA (93.0 mambo jambo fm)wanakupa salamu za week-end kupitia hapa.....twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia uwe na mwisho mwema wa juma hili, binafsi nitalimalizia kazini. UPENDO DAIMA