Friday, April 16, 2010

Keri Hilson kisura wa Avon Products inc..

Keri Hilson amepata kazi ya kuwa Avon lady. Ni kwamba amesaini mkataba na kampuni ya vipodozi mkataba ambao utamfanya auze sura katika lebo za pafyumu za campun
Campun hiyo ya Avon Products, Inc imesema mkali huyo wa . “Knock You Down”amefanya chia alizopita mwimbaji mwingine wa kike Jennifer Hudson,amenye Alisha wahi kusaini mkataba kama huo
Nimefurahishwa sana kutunukiwa kuwa kisura wa “Avon na anamini hicho nikitu kikubwa kwake na anaamini kunamanufaa makubwa sana atayapata kupitia Avon
Mrembo huyo kutopka Atlanta ambaye hivi sasa yupo studio anatengeneza albam yake mpya In a Perfect World…, atanza kuonekana katika bidhaa hizo za Avon’ kuanza mwezi August mwaka huu klakini mwezi huu kuna part imeandaliwa kwa ajili ya uziduzi wa bidha hizo ambapo part hiyo itaudhuriwa na masuper star kibao wakiwemo Fergie, Courteney Cox, Patrick Dempsey, Zoe Saldana, Reese Witherspoon, and Derek Jeter.

No comments: