Tuesday, April 6, 2010

EBONY FC VS IRINGA SALAAM CLUB ILIKUWA JPILI YA PASAKA..

 
minilicheza kiungo wa kushoto kazi yangu ilikuwa moja tu kutengeza mipira ya mwisho .hapa kabla ya mchezo nipo na bony sly ambaye yeye ni golkeeper tegemeo kwa wa Ebony fc
Kikosi cha Ebony fm kikiingia uwanjani tayari kwa mchezo dhiti ya kikosi cha Iringa salaam club

 
mchezo huu ulimalizika kwa kutoka sare ya bao 2-2 daah, jamaa walichomoa kipindi cha pili kwa bahati bahati anywayz ndo mchezo 

No comments: