Sunday, December 20, 2009

MARY CHRSMAS & HAPPY NEW YEAR..


twenty 4 seven inakupa  card hii ikiwa ni ishara ya kukutakia marry chrismas & happy new year..be blessed.

Wednesday, December 16, 2009

JELA YA NUKIA KWA LIL WYNE 2010.


Rapa Lil Wayne ametokea mahakamani New York leo ambapo amepewa tarehe ya kutolewa kwa hukumu yake mwezi February mwaka 2010. Lil Wayne alikutwa na silaha mnamo October mwaka huu.
Rapa huyo, ambaye jina lake halisi ni Dwayne Carter, alitokea mahakamani hapo majira ya asubuhi, akisindikizwa na washkaji zake wa Cash Money Records, wakiongozwa na mkurugenzi wao Bryan “Birdman” Williams pamoja na Ronald “Slim” Williams
Lil Wayne alibaki kimya wakati jaji akitaja tarehe 9 February kuwa ni siku ya hukumu ya kesi inayomkabili, ambapo Wayne anaangalia kuchezea mwaka mzima nyuma ya nondo huko New York kwa kumiliki silaha kinyume na sheria.
Mwezi October, rapa huyo alikutwa na hatia hiyo ya kumiliki silaha kinyume na sheria. kesi hiyo inaibuka kutokana na kesi nyingine ya mwaka 2007 ambayo bunduki aina ya .40 calliber ilikutwa kwenye basi la Wayne analotumia kufanyia ziara sehemu mbalimbali.
Lil Wayne amezungumzia ishu hiyo hapo kwenye remix ya nyimbo ya “O Let’s Do It” aliyomshirikisha rapa Waka Flocka, ambayo baadhi ya mistari yake inasema:
Habari za hukumu hiyo ya Lil Wayne zimekuja wakati ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkurugenzi wa Young Money Records na Eminem iitwayo "Drop The World" ikisumbua sana kwenye chati mbalimbali za internet.
Katika habari nyingine zinazomhusu Lil Wayne, uzinduzi wa albamu yake mpya ya Rebirth ambao ulitakiwa kufanyika baadae sana, umerudishwa nyuma hadi tarehe 1 February kutokana na kuwepo kwa hukumu hiyo.Albamu hiyo itaanza kuuzwa madukani siku chache baada ya Wayne kuanza kutumikia kifungo chake jela.

OMARION KUWA NA LABEL YAKE BAADA YA ''OLLUSION''KUDROP SOKONI.


Omarion amesema anafikiria kuanzisha label yake binafsi mara baada yakumaliza albam yake ya 4"Ollusion" ambayo inasimamiwa na campuni ya  EMI. amesema anahisi anaitaji kuwa mwenyewe na kuwasimamia artist wengine kwa kuwa hicho nikitu kizuri pia.lakini piiiiiiia amesema amefikiria kuanzisha Label binafsi ili kuepuka usumbufu kama kuchelewa kwa project anazozifanya pamoja na kutokuwa nasauti katika kazi zake...single mpya kutoka kwenye albam yake mpya  "I Get It," featuring Gucci Mane,na albam itakuwa sokoni  January 12, 2010.

Tuesday, December 15, 2009

BEYONCE ASEMA NINI SIRI YA MAFANIKIO YAKE.


beyonce amesema mafanikio anayo yapata katika game ikiwa ni pamoja na kuwa nominated katika categories nyingi  kwenye grammy award msimu huu ni kujituma  na kujitoa muhanga katika kutafuta mafanikio, lakini piiiia kuto kujari vibaya vinavyozungumzwa kwa kuwa hivyo huwafanya artist wengi wa kike kupunguza kukomaa na kucool down wakihofia kuandikwa nakuzungumzwa vibaya..Beyonce ameongoza kwa kuwa nominated katika categories 10 nakuwazidi wasanii wengine kama muimbaji wa muziki aina ya Country  Taylor Swift ambaye amechaguliwa katika categories 8 akifuatiwa na kundi la Black Eyed Peas, Maxwell naKanye West ambao wote weamechaguliwa katika categories 6.baadhi ya categories ambazo Beyonce amechaguliwa ni pamoja na - Song of the Year (Single Ladies (Put A Ring on It)), Record of the Year (Halo) and Best Album (I Am... Sasha Fierce)Grammy award zitafanyika  Staples Center in Los Angeles on January 31.

Monday, December 14, 2009

RICK ROSS APONDA GRAMMY AWARD....


Mkali huyu wa  HIPHOP amepinga vikali albam yake ya ''Deeper Than Rap''kuto kuwa nominated kwenye Grammy Award kama albam bora ya msimu huu.na ameponda mpangilio mzima uliotumika mpaka kupata wanaogomea award hizo.alipo ulizwa na moja ya kituo cha radio huko atranta '''anafikiria nini kuhusiana na grammy award '''I think they all haters na kusisitiza'' albam yangu ni kali na na saamini kama watu hamajui albam nikali ila nazani kuna kitu fulani kimefanyika..

TRE-DREAM & CHRISTIANA MILIAN WAFUNGA NDOA..


super star wa r&b Christina Milian and The-Dream hatimaye  wafunga ndoa huko las vegas marekani na kisha wakaenda kumalizia furaha yao katika mji wa Roma Italy...japo kuwa ndoa ya wawili hao ilikuwa ya kimya kimya lakini tayari picha zimekwisha kusambaa kwenye mitandao...hapo mwanzo wawili hawa ilisemekana walifunga ndoa ya siri sept mwaka huu lakini haikua hivyo,nainasemekana wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni..

Sunday, December 13, 2009

LIL WAYNE "REBIRTH"AISOGEZA MBELE TENA..


Albam yake mpya ambayo ndani yakE kuna NGOMA za  Rock tupu ''rebirth'' ameisogeza tena mbelE mwanzo alisema atairelease December 21 mwaka huu,lakini sasa ameisogeza mbele na ajaweka wazi nilini albam hiyo itaingia kitaa.Weezy kasema Singles  kutoka kwenye albam hiyo "Prom Queen" and "Hot Revolver" atazi release January and March 2010....kwa hiyo huenda albam hiyo itatoka baada ya kuachia single hizo..Weezy albam ya mwisho kuitoa ni Tha Carter III ambayo aliitoa 2008 na ilifika platinum..

Wednesday, December 9, 2009

MAFANS WAIKUBALI"GRAFFITI"YA C.BREEZE.


Baada ya kurealese albam yake mpya "Graffiti "dec 8 amesema amepata sapoti ya kutosha kutoka kwa mafans wake tofauti naalivyo kuwa akifikilia kuwa wameanza kum/dis kutokana na sakata lilomkuta baada ya  kumpiga ex-girlfriend wake rihanna...hii ni project yake kwanza chris brown kuiachia tangu february alipo fanya tukio hilo...breeze amesema mafans wake wameipenda project yake hiyo mpya kwa asilimia 99...

JAY-Z,50 CENT & NAS KATIKA NGOMA 1..


licha ya kuwa jamaa hawa wanabifu za hapa napale lakini kwa mujibu wa BET.com wazeeiya wanatarajia kufanya ngoma ya pamoja for the first tym na ngoma hiyo ni remix ya track ya Jay z  inayofa fanya vizuri kwenye bilboad chart amboyo amefanya alicia keys"Empire State of Mind".bado hajafahamika ngoma hiyo itatoka lini lakini wengi wameonekana kuisubilia kwa hamu,kwakuwa kihistoria Nas na Jigga wanabifu....lakini pia 50 na NAS bado wanahusishwa kuwa nabifu kutokana na 50 cent kushiriki katika ngoma "Piggy Bank," iliokuwa ikimdiss NAS iliojumuisha wasanii wa  Aftermath ambayo ilitoka 2005.

Tuesday, December 8, 2009

LIVE PARFORMANCE ZA KANYE KUINGIA SOKONI..


january 5 mwakani mkali huyu ataachia brand new cd/dvd set titled "Kanye West: VH1 Storytellers"!ambpo ndani yake kutakuwa na live parformance ya ngoma alizowahi kuzifanya kutoka kwenye albam yake iliopita ya  "808s & Heartbreak," kwenye "VH1 Storytellers"kutapatikana live parformance ya ngoma kama   "Good Life," "Stronger," "Heartless," and fan favorite "Flashing Lights".

MTIKISIKO 2009"SAMORA STATIUN PALITIKISIKA..



hii ndo stage iliotumika katika show ya mtikisiko dec 6 hapa kabla show haijaanza.

mwalubadu mmoja wa MAMC wa Mtikisiko dec 6 akifungua show mchana mchana fulani.

DJ Muba moja ya madj wakali ninao wakubali, siku hiyo alifanya kitu fulani tofauti sn anatoka EBONY
Felli kano akiiongoza SWEET NOISE BAND katika makamuzi dah jamaa wanatisha...
Ilipo fika usiku sasa makamuzi yakaendelea Samora stadium pakiwa pametanda shangwe mbayaaaa.
baadhi ya mashabiki wakitikisika kiburudani kama moto ya show hii msimu huu ilivyo sema..
coast morden taarabu wakiparform live ngoma zao..

cassim akiwarusha mafanc

baby madaha moja ya wasanii waliofanya show ya ukweli siku hiyo hasa katika kumiliki stage..
Stive usipime jamaa mkalii.

Ney wa mitego pamoja na matonya katika stage moja..
fid q alipiga bonge moja la show kiukweli jamaa anajua kujipanga big up broh..

BIG UP kwa EBONY  int,VODACOM na TBL kwa kufanya mtikisiko 2009 ukafanyika  kwa mara ya tatu mkoani iringa lengo ikiwa ni EBONY FM kuwakutanisha na kuwapa burudani wasikilizaji wake wa nyanda za juu kusini..

Wednesday, December 2, 2009

SNOOP KUVAA VIATU VYA OPRAH WINFREY 20011!


Mkali huyu wa HIP HOP amesema nataka kuchukua mikoba ya Oprah Winfrey kwa kuchukua talk show ya mwanadada huyo ambayo imempa umaharufu mkubwa ...kauli hiyo ya snoop imekuja baaba ya mwanadada huyo kutangaza kuwa anatarajia kustaafu kufanya show hiyo 2011'''“I’m trying to proposition the networks right now. If you’re wanting to hire a nice black exciting young male who wants to turn the TV world right up- get at me. I heard Oprah Winfrey is leaving and there ain’t no body do what Oprah did but ahem – hello! hello! And I can bring my wife on so we can have the women and the men on there discussing things”.said Snoop

LIL WYNE & NIVEA WAFURAHIA KUMPATA NEAL.


R&B singer Nivea and Grammy Award winner Lil Wayne wamekutana kifamilia kumkaribisha baby boy waliompata jumatatu hiii wakiongozwa na Antonia Carter mama wa mtoto wa kike wa lil wyne pamoja na muigizaji wa Lauren London,bila kusahau wakina mama wa watoto wa rapper wengine wa cash money.....mtoto huyo amepew jina la Neal.......

Tuesday, December 1, 2009

LEONA LEWIS NA DILI YA SOUNDTRACK..


mwanada huyu amepewa dili ya kutengeza soundtrack ya muviiii ya James Cameron...track hiyo I See You inatarajia kuachiwa dec 15..James Cameron sio mara yake ya kwanza kumpa dili msanii mkubwa amtengenezee soundtrack katika muviii yake,alishwai kumpa dili Celine Dion katika muvii ya titanic na  ngoma hiyo iliitwa my heart will go on...fans wasubili kwa hamu ngoma hiyo pamoja na muviii yake kwa kuwa wote wakali....