Wednesday, December 16, 2009

OMARION KUWA NA LABEL YAKE BAADA YA ''OLLUSION''KUDROP SOKONI.


Omarion amesema anafikiria kuanzisha label yake binafsi mara baada yakumaliza albam yake ya 4"Ollusion" ambayo inasimamiwa na campuni ya  EMI. amesema anahisi anaitaji kuwa mwenyewe na kuwasimamia artist wengine kwa kuwa hicho nikitu kizuri pia.lakini piiiiiiia amesema amefikiria kuanzisha Label binafsi ili kuepuka usumbufu kama kuchelewa kwa project anazozifanya pamoja na kutokuwa nasauti katika kazi zake...single mpya kutoka kwenye albam yake mpya  "I Get It," featuring Gucci Mane,na albam itakuwa sokoni  January 12, 2010.

No comments: