Tuesday, December 1, 2009

LEONA LEWIS NA DILI YA SOUNDTRACK..


mwanada huyu amepewa dili ya kutengeza soundtrack ya muviiii ya James Cameron...track hiyo I See You inatarajia kuachiwa dec 15..James Cameron sio mara yake ya kwanza kumpa dili msanii mkubwa amtengenezee soundtrack katika muviii yake,alishwai kumpa dili Celine Dion katika muvii ya titanic na  ngoma hiyo iliitwa my heart will go on...fans wasubili kwa hamu ngoma hiyo pamoja na muviii yake kwa kuwa wote wakali....

No comments: