Tuesday, December 15, 2009

BEYONCE ASEMA NINI SIRI YA MAFANIKIO YAKE.


beyonce amesema mafanikio anayo yapata katika game ikiwa ni pamoja na kuwa nominated katika categories nyingi  kwenye grammy award msimu huu ni kujituma  na kujitoa muhanga katika kutafuta mafanikio, lakini piiiia kuto kujari vibaya vinavyozungumzwa kwa kuwa hivyo huwafanya artist wengi wa kike kupunguza kukomaa na kucool down wakihofia kuandikwa nakuzungumzwa vibaya..Beyonce ameongoza kwa kuwa nominated katika categories 10 nakuwazidi wasanii wengine kama muimbaji wa muziki aina ya Country  Taylor Swift ambaye amechaguliwa katika categories 8 akifuatiwa na kundi la Black Eyed Peas, Maxwell naKanye West ambao wote weamechaguliwa katika categories 6.baadhi ya categories ambazo Beyonce amechaguliwa ni pamoja na - Song of the Year (Single Ladies (Put A Ring on It)), Record of the Year (Halo) and Best Album (I Am... Sasha Fierce)Grammy award zitafanyika  Staples Center in Los Angeles on January 31.

1 comment:

chib said...

Mafanikio yanatafutwa kwa kujituma, sio jamaa zetu wengi wakiibuka kidogo... bichwa hiloooo, na kujisahau kwa kutumbukia kwenye ulevi na anasa