Tuesday, December 8, 2009

MTIKISIKO 2009"SAMORA STATIUN PALITIKISIKA..



hii ndo stage iliotumika katika show ya mtikisiko dec 6 hapa kabla show haijaanza.

mwalubadu mmoja wa MAMC wa Mtikisiko dec 6 akifungua show mchana mchana fulani.

DJ Muba moja ya madj wakali ninao wakubali, siku hiyo alifanya kitu fulani tofauti sn anatoka EBONY
Felli kano akiiongoza SWEET NOISE BAND katika makamuzi dah jamaa wanatisha...
Ilipo fika usiku sasa makamuzi yakaendelea Samora stadium pakiwa pametanda shangwe mbayaaaa.
baadhi ya mashabiki wakitikisika kiburudani kama moto ya show hii msimu huu ilivyo sema..
coast morden taarabu wakiparform live ngoma zao..

cassim akiwarusha mafanc

baby madaha moja ya wasanii waliofanya show ya ukweli siku hiyo hasa katika kumiliki stage..
Stive usipime jamaa mkalii.

Ney wa mitego pamoja na matonya katika stage moja..
fid q alipiga bonge moja la show kiukweli jamaa anajua kujipanga big up broh..

BIG UP kwa EBONY  int,VODACOM na TBL kwa kufanya mtikisiko 2009 ukafanyika  kwa mara ya tatu mkoani iringa lengo ikiwa ni EBONY FM kuwakutanisha na kuwapa burudani wasikilizaji wake wa nyanda za juu kusini..

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Great stuff Brother.
Kuna jambo nimegundua wakati nina-update mailing list yangu. Ni kuwa sina email yako na nimeingia kwenye profile yako haujaiweka.
Kama ulisahau waweza fanya hivyo na kama ulifanya kwa makusudi basi usijali
Nia ya kuwa nayo ni kushirikisha habari na salamu nionazo zawafaa wadau
Blessings